Neno: Bibilia Takatifu

Psalms 117

Choose a chapter
1Msifuni Bwana, enyi mataifa yote; mtukuzeni yeye, enyi watu wote. 2Kwa kuwa upendo wake kwetu ni mkuu, uaminifu wa Bwana unadumu milele. Msifuni Bwana.

Biblica® Toleo Wazi Neno: Bibilia Takatifu™ (Open Kiswahili Contemporary Version) © 1984, 1989, 2009, 2015 Biblica, Inc. Used under CC BY-SA 4.0.

Psalms 117 · Neno: Bibilia Takatifu · M-Kristo